The following text field will produce suggestions that follow it as you type.

Coles

Loading Inventory...
Watoto wa Mitaani

Watoto wa Mitaani in Vernon, BC

By None

Current price: $19.99
Buy Online
Watoto wa Mitaani

Coles

Watoto wa Mitaani in Vernon, BC

By None

Current price: $19.99
Loading Inventory...

Size: Paperback

Buy Online
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Coles
Kuna sababu mbalimbali zinazofanya watoto wa mitaani kujikuta katika hali hiyo. Na ingawa mashirika mbalimbali kwa muda mrefu sasa yametambua kuweko kwa tatizo hili, hakuna jambo la muhimu ambalo limetekelezwa kulitatua. Mwandishi anaangazia machache kuhusu haki za watoto kwa upande wa malezi na elimu. Vilevile anatoa mapendekezo na jinsi ya kuepukana na hali hizo. Watoto ni rasilmali kubwa ya taifa; ni viongozi wa kesho na hasa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa katika siku zijazo. Kwa sababu hii, mwandishi anasisitiza umuhimu wa kuanzisha miradi fulani ya kuwasaidia watoto hawa kujitegemea kimaisha. Hivi basi makala haya ni ya muhimu kwa wote wale wanaohusika na tatizo la watoto wa mitaani.

More About Coles at Village Green Shopping Centre

Find everything in-store including new, used and children’s books, music, movies, games and toys. Visit Coles today to find the perfect gift, or a novel for yourself. COVID-19 UPDATE: Open | Regular Centre Hours

Find Coles at Village Green Shopping Centre in Vernon, BC

Visit Coles at Village Green Shopping Centre in Vernon, BC
Powered by Adeptmind