The following text field will produce suggestions that follow it as you type.

Coles

Loading Inventory...
Sadaka Ya Tarehe Tano: Msumeno Ulao Mbele Na Nyuma

Sadaka Ya Tarehe Tano: Msumeno Ulao Mbele Na Nyuma in Vernon, BC

By None

Current price: $2.99
Buy Online

Size: Kobo eBook

Buy Online
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Coles
Sadaka ya Tarehe Tano ni Agizo la Agano. Ni msumeno ulao mbele na nyuma; ni dawa na ni sumu; inaweza kuhuisha na inaweza kufisha. Kutotoa Sadaka ya Tarehe Tano ni kukaidi na kukaidi ni dhambi. kKama umekosa, Mungu Anajua huna. Hivyo, hutakuwa na dhambi kwa kutotoa. Kumbuka u katika Agano ambalo ni makubaliano kati yako na Mungu wako. Hali iliyokufanya ujiunge na Agano la Baba Mtume Elijah liwe ndilo shinikizo lako kutenda la yakupasayo. Hadithi ya Anania na mkewe Safira inawaumia makuhani na makarani katika Sadaka ya Tarehe Tano. Wenye bahati hutambua wakatubu na kuishi. Wengine hawapewi nafasi. Ya kuwapata huwapata wakawa wa kufahamu baada ya kwenda zao. Ole wao wailayo Sadaka ya Tarehe Tano, Ole wao wajikatiao kipande cha Sadaka ya Tarehe Tano, Ole wao waongeao vibaya kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano, Ole wao wasiojua chochote kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano, Ya kuwapata yatawapata pasipo kujua, Ila yatasemwa wao wakiozeana udongoni.

More About Coles at Village Green Shopping Centre

Find everything in-store including new, used and children’s books, music, movies, games and toys. Visit Coles today to find the perfect gift, or a novel for yourself. COVID-19 UPDATE: Open | Regular Centre Hours

Find Coles at Village Green Shopping Centre in Vernon, BC

Visit Coles at Village Green Shopping Centre in Vernon, BC
Powered by Adeptmind