Village Green Shopping Centre | Vernon's Premier Shopping Destination
Choice Made Simple!
Too many options?Click below to purchase an online gift card that can be used at participating retailers in Village Green Shopping Centre and continue your shopping IN CENTRE!Purchase Here
Coles A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition: Mtazamo Wa Ibada Katika Maisha Na Ujumbe Wa Nabii Yeremia at Village Green Shopping Centre in Vernon, BC
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Coles
Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka Kuni
Nabii wa moto, hivyo ndivyo Yeremia alivyokuwa. Ujumbe wake ulichoma wale waliomsikia akisema. Hakuna mtu anayependa kuchomwa moto. Kwa sababu hiyo, wasikilizaji wake walitaka kumuua. Wakamtupa gerezani. Hakuwa na marafiki wengi. Hakuwahi kuoa na hakuwa na watoto wa kuendeleza jina lake. Kwa miaka arobaini, hata hivyo, alitangaza neno la Bwana kwa uaminifu kwa watu ambao waligeuza migongo yao na kuziba masikio yao. Yeye ni mfano wa ibada ya kweli na uvumilivu. Utafiti huu unachunguza matukio muhimu na jumbe za mtu huyu mkuu wa Mungu.

Find everything in-store including new, used and children’s books, music, movies, games and toys. Visit Coles today to find the perfect gift, or a novel for yourself. COVID-19 UPDATE: Open | Regular Centre Hours