Choice Made Simple!
Too many options?Click below to purchase an online gift card that can be used at participating retailers in Village Green Shopping Centre and continue your shopping IN CENTRE!Purchase HereHome
A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition: Mtazamo Wa Ibada Katika Maisha Na Ujumbe Wa Nabii Yeremia
Coles
Loading Inventory...
A Fiery Prophet and a People of Wook - Swahili Edition: Mtazamo Wa Ibada Katika Maisha Na Ujumbe Wa Nabii Yeremia in Vernon, BC
Current price: $2.99

Size: Kobo eBook
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Coles
Nabii Wa Moto Na Watu Waliogeuka Kuni
Nabii wa moto, hivyo ndivyo Yeremia alivyokuwa. Ujumbe wake ulichoma wale waliomsikia akisema. Hakuna mtu anayependa kuchomwa moto. Kwa sababu hiyo, wasikilizaji wake walitaka kumuua. Wakamtupa gerezani. Hakuwa na marafiki wengi. Hakuwahi kuoa na hakuwa na watoto wa kuendeleza jina lake. Kwa miaka arobaini, hata hivyo, alitangaza neno la Bwana kwa uaminifu kwa watu ambao waligeuza migongo yao na kuziba masikio yao. Yeye ni mfano wa ibada ya kweli na uvumilivu. Utafiti huu unachunguza matukio muhimu na jumbe za mtu huyu mkuu wa Mungu.